Soko la Kiwira Mwankenja almaarufu kama "kwa lembuka" ni moja ya masoko yanayopatikana wilayani Rungwe Mkoa wa mbeya.Hapa chini nimekuwekea baadhi ya picha za soko hilo pamoja na pilika pilika zake.KARIBU RUNGWE,KARIBU KIWIRA,KARIBU KWA LEMBUKA.
                                                                     










Picha kwa hisani ya Mwambegele blog
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO

0 comments:

 
Top